Commando sum
My hyame commando
Ni filamu nzuri sana ilio chezewa nchini Vietnam Commando sam Alicheza kama komando ambaye ni mkongwe wa Vietnam ambaye kabla ya kuingia kwenye operation yake ya kivita alishawishiwa na mwandishi wa habari, Marylin, ili arudi kwenye uwanja wa vita huko Vietnam
msichana huyo alimuomba arudi huko kwa sababu ya kumsaidia baba yake ambaye alikamatwa na kufungwa na askari wa Vietnam.
Hii ni movie nzuri sana haina mambo machafu yakingono nasasa ina mwonekano mpya na mkali katika kioo cha ubora wa HD inang'ara vizuri katika screen Na imetafsiriwa na kuchombezwa maneno matamu kwa Kiswahili na mkandara lufufu.
Nasasa inapatika ndani ya maktaba yetu pendwa ya filamu Amazon π₯
Tunaweza kukutumia ukiwa mahali popote duniani na kwa gharama nafuu sana
Njoo WhatsApp number +255745117775/ au
amazonvideoslibrary@gmail.com

.jpeg)
.jpeg)

.png)
Comments
Post a Comment
Karibu kwenye tovuti ya Movie