Missing in Action 1984 ‧ Action/Mkandara lufufu

Habari mpenzi mtazamaji wa filamu. Amazon online VIDEO library tunakupenda na tuna kupongeza kwa kuendelea kutizama filamu zetu.

Sasa siku ya leo tumekuletea filamu kali ya (Missing in Action 1 ) ni filamu ilio chezwa mwaka 1984 ‧ Action/kali ya kivita picha ina lisaa na dakk40 ‧ 1h 41mi

Ili ongozwa na Joseph Zito pamoja na Chuck Norris. Imewekwa katika muktadha wa suala la Vita vya Vietnam POW/MIA. Kanali Braddock, ambaye alitoroka kambi ya vita ya Kivietinamu miaka 10 

mapema, alirudi Vietnam kupata wanajeshi wa Amerika walio orodheshwa kama waliokosekana katika vita wakati wa Vita vya Vietnam. 

Filamu hii ilifuatiwa na filamu ya pili Missing in Action 2: The Beginning (1985), 

Baada ya hiyo ili fuatia muendelezo, Braddock: Missing in Action III (1988)

Na hivyo ili tokea kuzitoa zote mfululizo kwasababu zilipendwa sana na watu wengi

Sasa Missing in action sehemu ya 1 na ya 2 tayari zinapatikana kwenye maktaba yako pendwa ya Amazon online VIDEO library

Uhakika ni filamu kali sana zime chezwa ndani ya uwanja wa vita huko Nchini Vietnam,chaku furahisha ziko katika mfumo wa kuvutia sana waHD quality kabisa zinang'ara katika screen,hazina ukungu hata kidogo.5

Na zime tafsiriwa na kuchombezwa maneno matamu na mzee wetu hayati captain Derick Mkandara lufufu,tutaweza kukutumia ukiwa mahali popote katika dunia kwa gharama nafuu sana kupitia WhatsApp>Link πŸ–‡️ Au kupitia Email πŸ“¨ Link πŸ–‡️

Kwa mawasiliano wasiliana nasi kupitia namba+255 74511 7775/au Email :amazonvideoslibrary@gmail.com


            Movies trailer HDπŸ‘‡ 



Comments

Popular Posts