The Siege of Firebase Gloria (1988) Mkandara lufufu HD quality
Mpenzi mtazamaji wa filamu zetu zile kalikali za zamani zilizo chombezwa na kutafsiriwa kiswahili na Mkandara lufufu ambae wengi wanapenda kumuita babu ,
Sasa leo Amazon online VIDEO library tunakuletea filamu hii kali inayo julikana kwa jina la( the siege of firebase gloria)
Hii ni miongoni mwa zile filamu kali sana zakivita zilicho chezwa nchini Vietnam
Sasa hii nikali kukiko ,hii filamu ili chezwa mnamo mwaka 1988
Kwenye misitu ya Vietnam imechezwa ma wababe kutoka Hong kong na Marekani kama vile
Sajent Meja Hafner akiongoza doria yake ambayo aliipachika jina la safari ya kuzimu kupitia eneo la adui,,π€£
Ndipo ali kutana na askari wengi wa Viet Cong ,pia ina sadikika hawakutarajia kua safari hii wa Vietnam walikua wamesha jiunga pamoja na wa viet Cong na walikua wameisha kataa kabisa kupigana ile vita yao ya siku zote ya ki gorilla π¦ yakuvizia ,
Hivyo walikua wamesha jitoa kwaaamba kama ni mbaya naiwe mbaya ,
Ndipo wamarekani wakajikuta wamezidiwa wakaanza kupigania kuokoa uhai wao tu
Japo walikuja kupata misaada mikubwa kutoka Marekani kupitia Helikopta gan shep za kwao na wakapata ushindi, lakini haikuwa rahisi kama walivyo zani maana Vietnam pia walikua wamesha pata misaada kutoka urusi /silaha nzito nzito makombo , darubini na vifaa ngine vingi vya kivita
Kwaufupi ni filamu sio yamchezo ukiitazama huishiwi hamu .
Kubwa kuliko ime tafsiriwa kiswahili na Mkandara lufufu na pia ni HD quality kabisa ina ng'ara katika screen ina patikana full movie kwenye maktaba yetu ya mitandaoni ya Amazon online VIDEO library π₯
Inapatikana kwetu pekee usije kutafuta kwingine hupati usije uka tapeliwa buree Hivyo sasa unapo itaka tujulishe kwa ujumbe mfupi kupitia simu +255 745 117775/ au kwenye WhatsApp, facebook au instagram
Au Email βοΈ: amazonvideoslibrary@gmail.com
Tutaweza kukutumia kwa gharama nafuu sana na utaweza kuipata hata ukiwa nnje ya nchi popote ulipo tunaweza kukutumia tu kupitia WhatsApp
Tazama Trailer hapa π
Comments
Post a Comment
Karibu kwenye tovuti ya Movie