BORN TO FIGHT (2004)

BORN TO FIGHT (2004) Filamu hii inamhusu Deaw, mwanamichezo na askari wa zamani aliyekwenda kijijini pamoja na kundi la wanamichezo kwa ajili ya shughuli ya kijamii. Wakiwa huko, kijiji kinavamiwa na kundi la waasi wenye silaha na kuwachukua wanakijiji mateka. Deaw na wenzake walilazimika kuweka tofauti zao pembeni na kutumia ujasiri, nguvu na ujuzi wao wa natural katika kupigana ili kuwakomboa wananchi na kukabiliana na waasi katika mapambano makali, Bonge la movie . ilitoka Mwaka: 2004 Aina: Action / Thriller / Martial Arts 🇹🇭 Nchi: Thailand Mkurugenzi: Panna Rittikrai. Imetafsiriwa Kiswahili na Mkandara Lufufu. Imeboreshwa kisasa HD na Victor ~ Oredi Ukiitaka full movie, njoo WhatsApp utumiwe: 0745 117 775 amazonvideoslibrary@gmail.com See less


Post a Comment

0 Comments