VITA ZA VIETNAM

Baada ya Vita vya pili vya dunia, Marekani ikawa nchi yenye uwezo mkubwa wa kiuchumi ulimwenguni, na nchi hiyo iliamini kwamba jeshi lake pia lilikuwa na nguvu zote. Lakini baada ya kutumia pesa nyingi na nguvu kazi katika Vita vya Vietnam kwa miaka minane tu, Marekani ilishindwa na vikosi vya Vietnam Kaskazini na washirika wao wa msituni, Viet Cong.

Katika kuadhimisha miaka 50 ya kuwaondoa wanajeshi wa mwisho Marekani kutoka Vietnam (Machi 29, 1973), BBC iliwauliza wataalam wawili na wasomi kujua ni kwa nini Marekani ilipigwa na kushindwa katika vita hivyo.

 

Vita baridi ilikuwa katika kilele chake. Mamlaka za ulimwengu za Kikomunisti na za kibepari baadae zilikabiliana.

 

Ikifilisiwa na Vita vya pili vya dunia, Ufaransa ilijaribu bila mafanikio kuhifadhi makoloni yake huko Indochina. Katika mkutano wa amani, waligawanya Vietnam ya leo kuwa kaskazini ya kikomunisti na jimbo linaloungwa mkono na Kusini inayoungwa mkono na Marekani.

 

Lakini kushindwa kwa Wafaransa hakukumaliza mzozo katika nchi hiyo. Waliogopa kwamba ikiwa Vietnam itakuwa ya kikomunisti kabisa, ukomunisti ungeenea hadi nchi jirani. Na hilo ndilo lililoiingiza Marekani kwenye mzozo huo uliodumu kwa muongo mmoja na kugharimu maisha ya mamilioni ya watu.

Kwa hiyo jeshi lenye nguvu zaidi ulimwenguni lilishindwaje katika vita na waasi wataifa jipya lililoanzishwa katika Asia ya Kusini-mashariki?

Wataalamu wawili wana haya ya kusema:

Majukumu ya kivita yalikuwa makubwa sana

Kwenda upande wa pili wa dunia kupigana vita ilikuwa jukumu kubwa. Katika kilele cha vita, kulikuwa na zaidi ya wanajeshi 500,000 wa Marekani waliokuwa kwenye ardhi ya Vietnam.

Gharama ya vita hivi ni ya kustaajabisha. Ripoti ya mwaka 2008 kwa Bunge la Marekani ilisema gharama ya jumla ya vita ilikuwa dola bilioni 68.6 (zaidi ya dola bilioni 95 katika viwango vya leo vya fedha).

Lakini Marekani ilitumia zaidi ya mara nne ya kiasi hicho katika Vita vya pili vya dunia na hatimaye ikashinda. Pia walianzisha vita vya muda mrefu nchini Korea. Kwa hiyo hapakuwa na wasiwasi wa imani katika vichwa vya viongozi wa Marekani kuhusu matokeo ya Vita vya Vietnam. 

Haya ni machache tu Mengi utayapata katika filamu kali tulizo nazo Amazon VIDEO library 

List ya movies tulizo nazo za vita ya Vietnam kwasasa zilizo tafsiriwa kiswahili na Mkandara lufufu:

1. War without and 

2. Eastern condos 

3. Battle rust

4. Heros shed no Tears 😭 

5. Soldiers boys 

6. War Bus

7. Platoon of the deaths ☠️ 

8. Striker 

9. Delta force 2

10. Missing in Action 1 

11. Missing in Action 2

12. White gost

13. The hard way 

14. Fild of fire πŸ”₯ 

15. The last stand at lang mei 

16. Fire base gloria 

17. Full metal jacket 

18. When eagle πŸ¦… striker 

19. Casualties of war

20. Nam Angels 

21. Deadly pray 

22. Humberge to kill

23. Cammander 

24. May hem commando 

25. Hell on the background 

26. Phantom soldiers 

27. 5Surviver 

28. The Bunker 



Comments

Popular Posts