Phantom soldies HD

Phantom Soldiers ni filamu ya kijeshi ya Ufilipino na Marekani ya mwaka wa 1987 iliyoigizwa na Max Thayer (Mac alie alicheza katika No Retreat, No Surrender 2)

 Ilikuwa ni baada ya vita vya Vietnam, kundi la kikosi maalum kilichojulikana kwa jina la (commando) chenye nguvu na hatari sana, ambacho kilikua kimevalia nguo nyeusi za kuficha sura zao kwa barakoa , kilichoitwa "Phantom", kikundi hicho kilikuwa kikifanya vurugu kubwa nchini Vietnam - walikuwa wakiua. wananchi na askari kiholela, na kuharibu vijiji vizima bila sababu yoyote ya msingi.

Sajenti Daniel Custer (Max), ambaye kaka yake aliripotiwa kutoweka akiwa mstari wa mbele nchini Vietnam, baada ya kuacho huko baada ya operation yao yakivita kukamilika aliacha kwenye misitu hiyo na sasa alijitolea na kujituma kuchunguza, kwa undani zaidi kuhusu makundi hayo ya magaidi, kwa sababu inaaminika kuwa waasi hao walikuwa wakimaliza mauaji yao ya kutisha (massacre). ) wana acha nembo ya Marekani, kitendo ambacho Marekani ilikemea vikali sana, baada ya uchunguzi mkali wa komando huyo wa Marekani

 Sasa alichukua hatua ya kuwakabili maadui hao baada ya kujua ilipo kambi yao, kundi hilo lilizidi kuwa na nguvu na hatari zaidi. . 

Unajua kundi hilo lilikua bado halijawahi kukutana na Jeshi la Marekani. 

Marekani ilikuwa inajiuliza kundi la phantom sordies linaungwa mkono na nani? Phantom ni nini? Wanamtumikia nani? Na nini malengo yao? Wanapata wapi hizo silaha nzito? 

Haya! Je, mashine hizo za kupumulia wanazipata kutoka wapi? Haya maganda yenye sumu yanatoka wapi?

Na kwamujibu wa taarifa zilizo ripotiwa na komando huyo nikwamba inasadikika kwamba wanalima na kuzalisha madawa ya kulevya! sasa je masoko yao yako wapi? Marekani ilikua na maswali mengi dhidi ya kundi hilo baya la phantom sordies 

Na sasa filamu hii nzuri inapatikana katika mkataba yetu ya Amazon VIDEO πŸŽ₯

 Unaweza kuipata kwenye CD, flash, kwawewe ulie mbali nasisi tunaweza kukutumia kupitia link kwenye WhatsApp. Filamu hii ina ubora kamili wa HD Unasubiri nini, nakwambia utaipenda filamu hii, imetafsiriwa vyema kwa maneno matamu ya Kiswahili na Mzee wetu Mkandara Lufufu.

Waweza ku wasiliana nasi kwenye WhatsApp number 255745117775/telegram

Email ✉️ amazonvideoslibrary@gmail.com

Video
πŸ‘‡
                       Phantom soldier πŸͺ–










Comments

Popular Posts