Kati ya filamu ambazo hazijawahi kuchuja ni hii Oparation Scopion, ni picha yenye mkono staori tamu yenye kuvutia.
Kipindi tu imetoka lilitengenezwa Bango kubwa la maonyesho la movie hii jijin Hong Kong- china ,lili washangaza wengi .
SCORPION KING (Operation Scorpio, 1992)
Filamu hii ya Hong Kong inamhusu Yuk-Su, kijana aliyependa kuchora katuni za mashujaa wa kung-fu na kuota siku moja kuwa amekua nayeye shujaa halisi. Maisha yake yalibadilika alipomsaidia msichana aliyekumbwa na biashara ya ukahaba, jambo lililomweka katika hatari kutoka kwa genge la wahalifu.
Yuk-Su alianza kujifunza kung-fu kutoka kwa walimu wenye mitindo tofauti ili aweze kujilinda na kuwakabili maadui zake. Changamoto kubwa ilikuwa Sonny Wong, mpiganaji hatari anayejulikana kwa kutumia mtindo wa mapigano unaofanana na nge (scorpion) ndipo kijana huyo nae akajifunza mapigani ya staili ya nnge na kuwa maarufu kupitia mapigano ya aina hiyo.
🎬 Mwaka: 1992
🎠Aina: Action / Comedy / Martial Arts
⏱️ Muda: Takribani dakika 96
🎬 Mkurugenzi: David Lai
⭐ Waigizaji: Chin Kar-lok, Lau Kar-leung, Kim Won-jin
Imetafsiriwa Kiswahili na Mkandara Lufufu
Imeboreshwa kisasa HD na Victor ~ Oredi
📲 Ukiitaka full movie, njoo WhatsApp utumiwe
WhatsApp: +255 745 117775
✉️ Email: amazonvideoslibrary@gmail.com

0 Comments
Karibu kwenye tovuti ya Movie