The firing line HD ya mkandara lufufu

Karibu katika kisiwa cha filamu za lufufu,Filamu hii kali ya Firing line 
Ilichezwa mwaka 1988 huko Amerika, Baada ya kanali wa jeshi kuikemea na kuichukia serikali yake ya mpito akidai anachukia miumo inayo itumia kwakuongoza taifa.

Alidai kua serikali imewapatia mafisadi ngazi mbalimbali za uongozi,hivyo akaamua kujiunga na vikosi vya waasi msituni pamoja na magaidi na wauzaji, wakulima wa dawa za kulevya. ndipo walipoanzisha mashambulizi makali dhidi ya serikali kwa lengo lau kuu ilikua ni kuitaka serikali ya Marekani kufuata matakwa yao. Kwa lazima,

 Kwa kweli ni filamu ambayo ina vita kali na nzuri sana, inaonyesha namna serikali ilivyo na nguvu kubwa pale inapo amua kupambana na mtu yeyote anayeweza kuitishia.
lakini serikali ilipata nafasi ya kushinda vita hiyo baada ya komando wake mashuhuli Mr REB BROWN pamoja na msichana mrembo SHANNON TWEED, na vikosi vingine vingi vya serikali, waliposhirikiana kuipigania serikali yao na hatimaye kushinda vita hiyo dhidi ya waasi japo haikuwa rahisi zaidi kama walivyo zani, walifanikiwa kuunyakua ushindi mara tu baada ya REB BROWN kuteka mawasiliano ya anga ya hao waasi na kuzipoteza maboyo ndege zao badala ya kuwashambulia wao akazidanganya sasa Zikawa zina shambulia vikosi vyao wenyewe. 


 Ni hivii  haikuwa rahisi kama walivyo zani ,kwa sababu waligundua kuwa waasi walikuwa na silaha nzito nzito pamoja na helikopta kali ,lakini pia walikua wamesha teka takribani nusu nchi. 


Imetafsiriwa na nakuchombezwa maneno matamu ya Kiswahili na mzee Mkandara lufufu,
Inaopatikana sasa dukani kwenye Maktaba yetu ya filamu ya Amazon πŸŽ₯ 

Tunaweza pia kukutumia link kwenye WhatsApp kwa gharama sawa na Bure
Wasiliana nasi 
+255745117775/ amazonvideoslibrary@gmail.com



Comments

Popular Posts