JUNGLE WARRIORS (1984)

JUNGLE WARRIORS (1984)

Filamu hii ya action, inahusu kundi la wanamitindo waliosafiri kwenda kwenye msitu wa Amerika Kusini kwa ajili ya kupiga picha. 

Safari yao iligeuka kuwa hatari baada ya ndege yao kushambuliwa na kulazimika kutua, sehemu ambapo hawakutarajia ,walikamatwa na jeshi binafsi la mfanyabiashara mkubwa wa dawa za kulevya katika msitu huo.

Walifanywa mateka, baadae walijikuta katikati ya vita vya nguvu kati ya wafanyabiashara wa dawa za kulevya, wanamgambo na watu wanaojaribu kuwakomboa. 

Baadae Walipopata nafasi ya kutoroka, mapambano makali yalianza ndani ya msitu, huku wakipambana kutafuta njia ya kuishi na kutoroka mikononi mwa watekaji wao .

Nibonge la picha nzuri sana.

🎬 Ilichezwa Mwaka: 1984

🎭 Vita vyakutosha,mkono Mwanzo mwisho.

⏱️ Muda: ina takribani dakika 78.

🎬 Mkurugenzi: Ernst Ritter von Theumer

⭐ Waigizaji: Nina van Pallandt, Paul L. Smith, John Vernon, Alex Cord, Sybil Danning, Woody Strode na Dana Elcar .

Imetafsiriwa Kiswahili na Mkandara Lufufu

Imeboreshwa kisasa kuwa HD na Victor ~ Oredi

📲 Ukiitaka full movie, njoo WhatsApp utumiwe

WhatsApp: +255 745 117775

✉️ Email: amazonvideoslibrary@gmail.com




Post a Comment

0 Comments