WHEN EAGLES STRIKE (2003)

 WHEN EAGLES STRIKE (2003)

Filamu hii ya vita/action ina mhusu Lt. Andrew Pierce, kiongozi wa kikosi cha wanajeshi wa Marekani kilichopewa jukumu la kuwaokoa viongozi wa Marekani waliotekwa na kundi la kigaidi na kupelekwa kwenye kisiwa cha Malaysia.

Pierce na kikosi chake waliingia katika operesheni hatari, lakini mambo yalikuwa magumu zaidi baada ya kugundua kuwa kuna msaliti ndani ya kikosi chao. Wanajeshi wote walitekwa na Pierce na waka kabiliwa na mateso makali huku wa kijaribu kutafuta njia ya kuokoa wenzake na kukamilisha misheni.

🎬 Mwaka: 2003

🎭 Aina: Action / War / Drama

⏱️ Muda: Takribani dakika 88

🎬 Mkurugenzi: Cirio H. Santiago

⭐ Waigizaji: Christian Boeving, Stacy Keach, Davee Youngblood, Nate Adams, Eddie Garcia, Rey Malonzo

Ni Bong la movie.

Imetafsiriwa Kiswahili na Mkandara Lufufu

Imeboreshwa kisasa HD na Victor ~ Oredi

📲 Ukiitaka full movie, njoo WhatsApp utumiwe

WhatsApp: +255 745 117775

✉️ Email: amazonvideoslibrary@gmail.com



Post a Comment

0 Comments