TAI CHI MASTER (1993)

 TAI CHI MASTER (1993)

Filamu hii ya Hong Kong inawahusu marafiki wawili wa utotoni, Junbao na Tienbo, waliolelewa pamoja katika hekalu la Shaolin na kufundishwa sanaa za kijeshi. Kadiri walivyokua, tofauti zao za tabia na tamaa za mamlaka ziliwapeleka katika njia tofauti, baadae Junbao aligundua nguvu na falsafa ya Tai Chi. ⚔️

Baada ya usaliti na migogoro, Junbao alilazimika kutumia ujuzi wake wa mapigano kuwalinda watu na kumkabili rafiki yake wa zamani katika pambano kubwa linalojaribu urafiki wao na imani zao.

🎬 Mwaka: 1993

🎭 Aina: Action / Ngumi-mkono

⏱️ Muda: Takribani dakika 96

🎬 Mkurugenzi: Yuen Woo-ping

⭐ Waigizaji: Jet Li, Chin Siu-ho, Michelle Yeoh, Yuen Cheung-yan

🎞️ Imetafsiriwa Kiswahili na Mkandara Lufufu.

Nibonge la movies,wanapenda movies za ngumi.

✨ Imeboreshwa kisasa kwa HD na Victor ~ Oredi

📲 Ukiitaka full movie, njoo WhatsApp utumiwe

WhatsApp: +255 745 117775

✉️ Email: amazonvideoslibrary@gmail.com



Post a Comment

0 Comments