COMMANDER (1988)

 COMMANDER (1988)

Baada ya Vita vya Vietnam kumalizika, Roger “Commander” Craig aliamua kubaki Vietnam pamoja na wapiganaji wenzake. Wakiwa katika mazingira hatari, waliendelea kupambana na Viet Cong na kusaidia watu wanaoteseka kutokana na vita.

Commander alipopewa jukumu maalum la kijeshi li lilohusisha Warusi na silaha/mzigo wa siri, mambo yaligeuka kuwa vita vya kulipiza kisasi. Adui alipoanza kuangamiza kila kitu kilicho muhimu kwake,ikiwemo ni pamoja na kumuua mke wake pamoja na wakwezake wa ki Vietnam .

Commander alirudi kwenye uwanja wa vita akiwa tayari kupambana hadi mwisho.

🔥 COMMANDER — Action kali, mapambano, kulipiza kisasi na vita vya Vietnam!

📢 TANGAZO

UKIITAKA FULL NA ORIGINAL, ILIYOTAFSIRIWA KISWAHILI NA MKANDARA LUFUFU HD, WASILIANA NASI:

AMAZON VIDEO LIBRARY

📲 WhatsApp: +255 745 117 775

🎬 UBORA WA HD • TAFSIRI YA KISWAHILI • FULL MOVIE



Post a Comment

0 Comments