Machete (2010)
Filamu hii inamhusisha Machete Cortez, aliyekuwa askari wa shirikisho nchini Mexico. Baada ya kusalitiwa na kuachwa akidhaniwa amekufa, Machete alipoteza familia yake mikononi mwa jambazi mwenye nguvu na kukimbilia Texas
Miaka kadhaa baadaye, Machete ali ajiriwa kumuua seneta wa Texas, lakini aligundua kuwa kazi hiyo ni mtego uliopangwa kwa siri ili kumtumia kama chombo cha kisiasa.
Baadae Ali jeruhiwa na kutafutwa na watu wengi, Machete alianza kufichua mtandao wa rushwa, biashara ya dawa za kulevya na njama zinazohusisha watu wenye nguvu.
Akiwa na msaada wa watu wanaopigania haki za wahamiaji, Machete aligeuka kuwa mtu anayewindwa huku akitafuta kulipiza kisasi na kufichua ukweli.
Safari yake ili ishia katika mapambano makali dhidi ya maadui wasaliti na wauzaji wa madawa ya kulevya.
Ni picha nzuri saana ya kipigo na story nzuri,ilitoka Mwaka: 2010
Mhusika mkuu ni : Danny Trejo kama Machete,kama hujaiona usikubali kuikosa muvi hii.
IMETAFSIRIWA KISWAHILI NA MKANDARA LUFUFU
IMEBORESHWA KISASA HD NA VICTOR ~ OREDI
Ukiitaka Full Movie, njoo WhatsApp utumiwe:
+255 745 117 775
amazonvideoslibrary@gmail.com

0 Comments
Karibu kwenye tovuti ya Movie