Filamu hii ya mapigano ya Hong Kong inamhusu shujaa mwenye ujuzi wa Tai Chi, alie jikuta akiingia kwenye mzozo unaohusisha wapiganaji hatari, hila na migogoro ndani ya jamii. Kupitia mafunzo na mapambano makali, alilazimika kutumia ustadi wake wa Tai Chi kupambana na maadui na kulinda watu anaowapenda.
🎬 Mwaka: 1996
🎠Aina: Action / Martial Arts
⏱️ Muda: Takribani dakika 90
🥋 Mtindo: Tai Chi / Kung Fu
⭐ Waigizaji: Jet Li na waigizaji wengine wa filamu za mapigano za Hong Kong
Imetafsiriwa Kiswahili na Mkandara Lufufu
Imeboreshwa kisasa kuwa HD na Victor ~ Oredi
📲 Ukiitaka full movie, njoo WhatsApp utumiwe
WhatsApp: +255 745 117775
✉️ Email: amazonvideoslibrary@gmail.com

0 Comments
Karibu kwenye tovuti ya Movie