War of the Arrows (2011)
Movie hii ya vita ya mishale inahusu matukio yaliyotokea wakati wa uvamizi wa kikosi hatari cha uasi cha Manchu nchini Korea mwika ya nyuma ,walimfuata Nam-yi, mpigaaji na muwindaji kupitia mishale mwenye kipaji kikubwa, ambaye maisha yake yalibadilika baada ya askari waasi wenye silaha za mishale wakiwa wamepanda farasi wali vamia kijiji chao na kumteka dada yake Ja-in siku ya harusi yake.♥️
Nam-yi alijitahidi kumfuata dada yake alie chukuliwa mateka na jeshi hilo akiwa pekeake ili kumuokoa dada yake.
Akitumia ustadi wake mkubwa wa upigaji mishale, aliwashambulia wanajeshi mmoja baada ya mwingine na kuwachanganya katika milima na misitu.
Lakini kamanda mkali wa jeshi hilo la waasi, Jyu Shin-Ta, aligundua kwamba kuna mpiganaji mkali asiyeonekana anayewawinda wanajeshi wake, hivyo akaanza kumtafuta Nam-yi.
Hapo ndipo ilianza vita kali kati ya wapiga mishale wawili wenye uwezo mkubwa, huku Nam-yi akikimbizana na maadui ili kumwokoa dada yake kabla hajapelekwa utumwani,vita ilipigwa kwenye milima,misitu,nyika na mabonde.
Movies hii nikali sana ya kikorea zile za pori,na kifalme ,imetoka mwaka: 2011
Muda ina: Dakika 122
IMETAFSIRIWA KISWAHILI NA MKANDARA LUFUFU
IMEBORESHWA KISASA HD NA VICTOR ~ OREDI
Ukiitaka Full Movie, njoo WhatsApp utumiwe:
+255 745 117 775
amazonvideoslibrary@gmail.com

0 Comments
Karibu kwenye tovuti ya Movie