Nam Angels (1989)
Movies hii ya kivita/ Action inamhusu Lt. Vance Calhoun,maarufu mzee wa mpuruturizo afisa wa jeshi la Marekani aliyepata jukumu hatari la kuwaokoa wanajeshi wenzake waliokua wametekwa na adui katika Darloc Valley, ndani ya Vietnam. Inajulikana kwa jina lingine kama 6 commando.
Kwa kuwa jeshi halikua na rasilimali za kutosha kwa operesheni hiyo, Calhoun aliamua kuunda kikosi kisicho cha kawaida kwa kuwaajiri wafungwa watano wenye ujuzi wa pikipiki. Wakiwa na pikipiki zao, na waliweza kuingia kwenye eneo linalodhibitiwa na madui huko Vietnam wakikabiliana na mashambulizi,makali ya uso kwa uso wakiwa na bodaboda zao ndani misitu hatari na maadui wenye silaha.
Safari yao ilikuwa gumu zaidi, walipofika ndani zaidi waligundua kuwa kuna eneo ambalo lina siri kubwa inayohusisha madini ya dhahabu, mateka wa Marekani na kiongozi hatari alie asi marekani. Kaulimbiu yao ilikua ni “Nam Angels” lazima wapigane ili kuwaokoa mateka kabla eneo hilo halijaharibiwa kwa mashambulizi ya kijeshi.
Hii movie yani kwa kifu nikali nikali kuliko,kama hujawahi kuiona usikubali kuikosa .
IMETAFSIRIWA KISWAHILI NA MKANDARA LUFUFU
IMEBORESHWA KISASA NA VICTOR ~ OREDI
Ukiitaka Full Movie, njoo WhatsApp utumiwe:
+255 745 117 775
amazonvideoslibrary@gmail.com

0 Comments
Karibu kwenye tovuti ya Movie