Thomas Close to Jesus

 Thomas Close to Jesus

Filamu hii ya Historia ya kweli kutoka katika Biblia takatifu inamhusu Mtume Thomas baada ya kusulubiwa kwa Yesu christo msalabani Na wakina potia pilato ,Herode..

Baadae Thomas alikuja kufika Golgotha

 wakati mwili wa Yesu unashushwa msalabani, akiwa ameshtushwa na huzuni kubwa pamoja na matukio kuhusu kifo cha Yesu christo -yaliyotokea.

Baada ya Yesu christo kuzikwa, wanafunzi wengi waliamua kuondoka Yerusalemu kwa hofu ya mamlaka. Lakini Thomas yeye ali kataa kuondoka kwa sababu anaogopa kwamba kaburi la Yesu linaweza kuvamiwa au mwili wake kuchukuliwa. 

Kadiri matukio ya ajabu yalivyoendelea, Thomas alizidi kuwa na mashaka yake kuhusu ufufuo wa Yesu.

Hatimaye, Thomas akaamua kuutafuta ukweli mwenyewe. 

Uzoefu wake ulibadilisha imani yake na kumfanya aendelee na kazi ya kueneza ujumbe wa Kristo.

Historia ya Biblia

Muda: Dakika 95–96

Mkurugenzi: Raffaele Mertes

Mhusika mkuu: Ricky Tognazzi kama Thomas

Jesus: Danny Quinn 

IME TAFSIRIWA KISWAHILI NA MKANDARA LUFUFU

IMEBORESHWA KISASA NA VICTOR ~ OREDI

Ukiitaka Full Movie, njoo WhatsApp utumiwe:

+255 745 117 775

amazonvideoslibrary@gmail.com

Tazama video ~ Trailer 👇



Post a Comment

0 Comments