Starship Troopers (1997)
Filamu hii ya Action / Adventure ihusu Johnny Rico, kijana alue jiunga na jeshi la Mobile Infantry ya karne ya 23.
Iliaminika kua Dunia inaweza kuingia kwenye vita kubwa dhidi ya viumbe wa kigeni kutoka kwenye sayari,na anga zajuu, wanaofanana na wadudu wakubwa, wanaojulikana kama Arachnids.
Baada ya mji wa Buenos Aires kushambuliwa na kuangamizwa, Rico na wanajeshi wenzake waliingia vitani dhidi ya majeshi hayo ya viumbe hatari. Wakiwa kwenye sayari za mbali,
Walikutana na mashambulizi makali, vifo vya wenzao na changamoto zilizowalazimisha kupigana kwa ajili ya kujiokoa .
Ilichezwa mwaka: 1997
Aina: Action
Muda: Dakika 129
Mkurugenzi: Paul Verhoeven
Mhusika mkuu: Casper Van Dien kama Johnny Rico
Wahusika wengine: Dina Meyer kama Dizzy Flores, Denise Richards kama Carmen Ibanez, Neil Patrick Harris kama Carl Jenkins.
IME TAFSIRIWA KISWAHILI NA MKANDARA LUFUFU
IMEBORESHWA KISASA HD NA VICTOR ~ OREDI
Ukiitaka Full Movie, njoo WhatsApp utumiwe:
+255 745 117 775
amazonvideoslibrary@gmail.com

0 Comments
Karibu kwenye tovuti ya Movie