Warbus (1985)
Movie hii ni Action kali sana ya kivita / ilitokea wakati wa Vita za Vietnam,
ambapo kundi la raia na wamisionari lilijaribu kutoroka eneo lililo katika hatari ya vita kwa kutumia basi la zamani la shule ya watoto.
Walipofika Njiani, walikutana na wanajeshi watatu wa Marekani—Sgt. Dixie, Gus na Ben—ambao waliaamua kuwasindikiza kuelekea kwenye kituo cha kijeshi salama.
Baadae safari yao ili geuka kuwa uwanja wa vita kali baada ya kuzungukwa na majeshi ya Vietnam.
Wakiwa ndani ya msitu na eneo la vita, walikabiliwa na mashambulizi makali sana, kuviziwa na hatari mbalimbali, huku wanajeshi hao walijaribu kuwalinda raia na kufikisha basi kwenye kituo cha kijeshi ambako waliweza kuomba msaada.
Ili chezwa mwaka: 1985
Aina: Action / movies ya vikita
Muda: Dakika 92–94
Mkurugenzi: Ferdinando Baldi (kwa jina Ted Kaplan)
Ni bonge moja la movie kali ya kivita Vietnam.
IME TAFSIRIWA KISWAHILI NA MKANDARA LUFUFU
IMEBORESHWA KISASA HD NA VICTOR ~ OREDI
Ukiitaka Full Movie, njoo WhatsApp utumiwe:
+255 745 117 775
amazonvideoslibrary@gmail.com

0 Comments
Karibu kwenye tovuti ya Movie