Robowar (1988)
Filamu hii ya Action / inamhusu Major Murphy Black na kikosi maalumu cha BAM kilichotumwa katika msitu mnene kwa operesheni ya siri.
Hawakuambiwa kikamilifu wanachokwenda kukabiliana nacho, lakini baada ya kufika waligundua kuwa wanawindwa na Robot hatari ya aitwaye Omega.
Kadiri walivyoendelea ndani ya msitu, ndivyo walivyo zidi kukutana na mauaji ya kutisha na kugundua kwamba Omega, si roboti ya kawaida, bali ni silaha ya kisasa yenye uwezo mkubwa wa kuuwa wanadamu.
Kikosi hicho kilipaswa kutumia ujasiri, mbinu za kijeshi na nguvu zao zote ili kuishi na kumzuia adui huyo kabla haja angami wote.
Filamu hii ilichezwa Mwaka: 1988
Aina: Acti
Mkurugenzi: Bruno Mattei
Mhusika mkuu: Reb Brown kama Major Murphy Black
Mhusika mwingine: Catherinï
IME TAFSIRIWA KISWAHILI NA MKANDARA LUFUFU
IMEBORESHWA KISASA HD NA VICTOR ~ OREDI
Ukiitaka Full Movie, njoo WhatsApp utumiwe:
+255 745 117 775
amazonvideoslibrary@gmail.com
Trailer 👇

0 Comments
Karibu kwenye tovuti ya Movie