NOHU NA SAFINA

  NUHU (Noah’s Ark, 1999)

Filamu hii ni simulizi la kidini inayo tokana na hadithi ya Nuhu katika Kitabu cha Mwanzo. Nuhu alionywa na Mungu kuhusu hukumu inayokuja kutokana na uovu wa wanadamu, hivyo anaamriwa na Mungu kujenga safina kubwa na kuwachukua familia yake pamoja na wanyama ili waokoke gharika kubwa.

Mvua inaponyesha na dunia kufunikwa na maji, Nuhu na familia yake yote pamoja na wanyama wote ndani ya safina wanapambana kuishi hadi mafuriko yanapomalizika. Hatimaye walifika kwenye nchi kavu na kupewa nafasi ya kuanza maisha mapya. 

Ni Movies nzuri sana ya Mwaka: 1999

 Aina: Drama / Adventure / Romance

 Waigizaji: Jon Voight, Mary Steenburgen, F. Murray Abraham 

Imetafsiriwa Kiswahili na Mkandara Lufufu

Imeboreshwa kisasa HD na Victor ~ Oredi

 Ukiitaka full movie, njoo WhatsApp utumiwe: 0745 117 775 

 amazonvideoslibrary@gmail.com See less



Post a Comment

0 Comments