The white masai

The white masai ni kati ya zile filamu kali za kiafrika,
Ukweli kabisa nifilamu ya kiafrika iliochezwa nchini kenya,yani filamu hii ni hadithi ya kweli ilitikisa sana mwaka 2005 huko kenya pamoja na nchi za ulaya.

Imechezwa na Mwanamke Mrembo kutoka Uswisi anaitwa Carola au(Nina Hoss)ni baada ya kukutana nayule shujaa mzuri wa ki Masai anaeitwa Lemaliani au (Jacky Ido). Binti huyo Calora alitokea kumpeΓ±da sana huyo masai , zaidi na zaidi mapigo ya moyo ya Carola hayakuwa ya kawaida baada ya Carola kukutana na masai huyo lemalian , Calora alimpenda sana masai hivyo akaamua kumuacha mpenziwake wa awali wahuko kwao uswisi ,na pia akamuacha rafikiake alie kujanae kutoka huko kwao anaeitwa Stefan,hivyo akaamua kukaa Kenya kwenye kijiji cha uloyo kilichopo jirani na misitu mikubwa ,kama unavyojua wamasai huwa niwafugaji na wawindaji kiufupi niwatu wanaopenda kuishi jirani namisitu sasa tumekupa hadithi kwaufupi tu ila Movies hi nidefu sana.
Kiukweli ni filamu nzuri sana ya kifamilia haina mambo machafu.imetafsiriwa na kuchombezwa maneno matamu ya kiswahili na captain mkandara Lufufu
Usije ukaikosa hii filamu.muandaaji ni /Victor N Oredi






Comments

Popular Posts