AMERICAN SOLDIERS (2005)

AMERICAN SOLDIERS (2005)

Filamu hii imechezwa nchini Iraq mwaka 2004, ambapo kikosi cha wanajeshi vijana wa Marekani kinkiatoka katika doria ya kawaida. Ghafla, vamiwa na wapiganaji waasi wanaowajua vizuri mazingira ya eneo hilo, na doria hiyo inageuka kuwa vita kali ya kuwania kuishi.

Wanajeshi hao wanajikuta wakipambana katika mazingira hatari, huku mashambulizi yakizidi na nafasi zao za kujiokoa zikipungua. Katikati ya machafuko hayo, walipaswa kutumia mafunzo na ujuzi waoya juu ,kijeshi ili kuendelea kuishi na kuwasaidia wenzao. .

Ilisambaa

🎬 Mwaka: 2005

🎭 Aina: War / Action / Drama

⏱️ Muda: Takribani saa 1 na dakika 43

🎬 Mkurugenzi: Sidney J. Furie

⭐ Waigizaji: Curtis Morgan, Zan Calabretta, Jordan Brown, Eddie Della Siepe 

Ni Bonge la movie.

Imetafsiriwa Kiswahili na Mkandara Lufufu

Imeboreshwa kisasa na Victor ~ Oredi

📲 Ukiitaka full movie, njoo WhatsApp utumiwe: +255 745 117 775

✉️ amazonvideoslibrary@gmail.com



Post a Comment

0 Comments