Meli ya Titanic _RMS

RMS Titanic, ilikua nimeli ya starehe sana, ilizama mwanzoni mwa Aprili 15, 1912, kutoka pwani ya Newfoundland katika bahari ya Atlantiki ya Kaskazini baada ya kuzungusha barafu wakati wa safari yake ya kwanza. Kati ya abiria 2,240 na wafanyakazi waliokuwamo ndani, zaidi ya 1,500 walipoteza maisha katika janga hilo. Meli hiyo yaTitanic iliandikwa na kutunzwa kumbukumbu katika vitabu, nakala na filamu (pamoja na sinema ya "Titanic" ya 1997 iliyoigizwa na Kate Winslet na Leonardo DiCaprio), hadithi ya hiyo meli ili ingia katika ufahamu wa umma na taifa zima la marekani na ungereza kama hadithi ya tahadhari kubwa juu ya hatari za baharini kwa maisha ya wanaadam.

Sasa inapatikana ndani ya office za Amazon VIDEO library ๐ŸŽฅ ,tuna CD pia tayari iko kwenye mfumo wetu wa online movies link inapatikana ikiwa full movies ina masaa 2 na dakik50_sasa njoo WhatsApp tukutumie

Ni HD Quality kabisa inang'ara vizuri katika screen tuli irudia kuirekebisha vizuri na imechombezwa maneno matamu ya kiswahili na mkandara Lufufu.

Trailer hii ๐Ÿ‘‡


Comments

Post a Comment

Popular Posts