HOLY DIAMOND
Filamu hii ya Kinigeria inahusu maisha ya jamii yenye mila, siri na imani za kichawi, ambapo almasi yenye nguvu za ajabu inakuwa chanzo cha migogoro na tamaa. Wahusika mbalimbali walijikuta kama aki na ukwa wakikabiliana na hatari huku wakijaribu kuilinda siri ya almasi hiyo na kuzuia isitumike vibaya. Safari yao ilichanganya uchawi, ujasiri, usaliti, mapambano na maisha ya kifalme.
🎬 filamu hii ilitoka Mwaka: Takribani miaka ya 1990/2000
🎠Aina: Action / Adventure / Fantasy / Drama
⏱️ Muda: Takribani dakika 90
💎 Mandhari: Uchawi / Ufalme / Safari / Mapambano.
⭐ Waigizaji: Waigizaji wa filamu hiyo ya Kiafrika ni Aki na ukwa.
Imetafsiriwa Kiswahili na Mkandara Lufufu
Imeboreshwa kisasa kuwa HD na Victor ~ Oredi
📲 Ukiitaka full movie, njoo WhatsApp utumiwe
WhatsApp: +255 745 117775
✉️ Email: amazonvideoslibrary@gmail.com

0 Comments
Karibu kwenye tovuti ya Movie