FAIDA 10 ZA KUTAZAMA FILAMU

Katika maisha ya Mwanadam,starehe ni kitu kizuri sana

watu wengi wanafikiria kufanya starehe nikukosa akili,eti niupumbafu lakini sikweli starehe ni jambo jema,kutazama filamu ni miongoni mwa starehe nzuri tena zisizo kua na maadhara katika familia na jamii kwaujumla.

Kwakua kuna Starehe zingine nyingi zina maadhara Kwa muhusika mwenyewe, kwenye familia na katika jamii kwaujumla. 


Mfano: Pombe, Mpira,Karata, Ngono ,Sigara,kula kitimoto kila wiki,na zinginezo nyingi kama hizo


Hizo zote ni starehe ,lakini asilimia kubwa zina madhara ila starehe ya kutazama filamu ni moja kati ya starehe Bora kabisa isiyo kua na maadhara ,na kero kwako, kwa familia na kwajamii nzima kwaujumla

Ukiangalia filamu unapata faida zifuatazo:


1.KUONGEZA HARI

2.KUSHAWISHI (Mambo mema

3.KUTULIZA AKILI

4.KUKUKUMBUSHA NYAKATI ZA KALE mfano (kama uli wahi kuitazama wakati flani  wafuraha basi kila utakapo itazama tena basi itakukumbusha kipindi hicho)na utajikuta umeingia katika hali ya furaha Ghafla , au kama muliwahi kuitazama filamu hiyo labda wewe na rafikiako, ndugu jamaa, mpenzio basi kila utaakapo itazama kwa siku za sasa au zausoni basi utamkumbuka huyo mtu. 

Ko kwakifupi

5.KUKUPA HISIA FULANI,za huzuni,furaha au zakimapenzi

6.KUKUBURUDISHA

7.KUHIMIZA (psychological power)

8.KUFUNDISHA

9.KUKUPA NGUVU TENA PALE UNAPOKUA UMEKATA TAMAA.

10 NA ZINGINE NYINGI TU


Karibu Amazon video library 🎞️ kisiwa cha marah na buruda


Comments

Popular Posts