Stallone Rambo_ Cliffhanger

 Rambo Cliffhanger 

Ni filamu ya kusisimua ya Kimarekani ya  1993 iliyongozwa na kutayarishwa na waigizaji wengi :  Sylvester Stallone rambo John Lithgow, Michael Rooker na Janine Turner, Renny Harlin

Kulingana na dhana ya muwekezaji milima John Long, filamu hii mhusika mkuu kama ⭐✨  ni Rambo (Stallone), alicheza kwajina la Gabe.

filamu hii inawahusisha wapanda milima mashuhuri pamoja majambazi walio teka ndege yenye barurungutu ya dola kwenye anga za juu kutoka kwenye Hazina ya Marekani ilio ruka juu ya Milima ya Rocky. 


Filamu hiyo ilionyeshwa kwa mara ya kwanza katika Tamasha la Filamu la Cannes la 1993, na ilitolewa nchini Marekani mnamo Mei 28, 1993, na TriStar Pictures. Ilipata dola milioni 255 duniani kote.

Sasa inapatikana katika maktaba yetu ya Amazon VIDEO library tuko online kila siku pia  tutaweza kukutumia fasta 

Usikubali kuikosa kabisa ni filamu nzuri

+255745117775

Email amazonvideoslibrary@gmail.com



Comments

Popular Posts