Attack on Darfur HD

Attack on Darfur(2009) 

Ni filamu kali na ya kusikitisha sana, iliyojaa mauaji ya kikatili na ubakaji kutoka kwa kundi la wanamgambo wa maharamia wanaojulikana kwa jina la Janjaweed, uamuzi wa kundi hilo la waasi ulikua ni kutekeleza unyama huo! kama vile kuuwa raia wasio na hatia, na ubakaji.

Ilitoka mwaka 2009 Ndani ya kijiji cha Darfur ambako mauaji yalifanyika, kulikuwa na waandishi wa habari sita wa Magharibi waliotembelea kijiji kidogo cha Darfur magharibi mwa Sudan, 

Licha ya ujumbe wa vikosi vya kulinda amani nya Umoja wa Afrika (AU). Waliposikia kwamba wanamgambo wakatili wanaofadhiliwa na serikali yampito ya nchi hiyo ya sudani Janjaweed walikuwa wakielekea katika vijiji vyote vya Darfur, magharibi mwa Sudan ,kwaajili ya kutekeleza mauwaji yao yakimbali massacre,

Raia wengine walilazimika kukabiliana na uamuzi ambao haukua rahisi kwao wa kuondoka Sudan na kuripoti unyama huo kwa ulimwengu, waliamua kuhatarisha maisha yao na kukaa huko. matumaini ya kuepuka mauaji hayo kwa kujaribu kuwatetea wananchi lakini haikuwa rahisi kama walivyofikiri. 

Lakini pamoja na hayo yote, iliaminika kwamba wanamgambo hao walikuwa wakihamasishwa na serikali ya Sudan kufanya ukatili na maafa kwa wananchi, bila kubainika sababu nini za kufanya unyama huo na baadaye jeshi la Umoja wa Mataifa likaingilia kati, lakini bado wanamgambo hao walionekana kuwa na nguvu, kwa sababu walikuwa wakipata uungwaji mkono kutoka kwa serikali.

 Kiukweli usikubali kuikosa filamu hii nzuri sana imetafsiriwa kwa kiswahili na Mkandara Lufufu na nihadithi ya kweli pia iko katika umbo la kuvutia na kung'ara katika skrini yako kwakifupi ni HD Quality

Sasa inapatikana katika maktaba yetu pendwa ya filamu, Amazon VIDEO Library πŸŽ₯
Utaweza kuipata kwagarama nafuu sana elfu moja tu
Ipo DVD, Flash na ipo kwenye link so tunaweza kukutumia ukiwa mahali popote katika dunia na ukaipata vyema kabisa 1,000TZS Tu. 
Mawasiliano +255745117775 WhatsApp na telegram
Email ✉️ amazonvideoslibrary@gmail.com



Movies Trailer πŸ‘‡



Comments

Popular Posts