The beach red HD

Beach Red ni filamu kali sana ya vita ya pili ya dunia ya mwaka1967 iliyoigizwa na Cornel Wilde (ambaye ni lutenenti katika jeshi la Amerika pia aliongoza kwenye vita hiyo) pamoja na Rip Torn.i

Filamu hii inaonyesha namna ya majeshi ya kimarekani yamaji  (Marine )yalipo ingia pwani ya kisiwa cha bahari ya pasifiki kukabiliana na majeshi ya kijapani  yalio kua yamejenga ngome 2 matata sana katika kisiwa hicho ili kukabiliana na majeshi ya Marekani marine/ 

Ngome hizo zakijapani zilikua sio mchezo walijenga silaha nzitonzito kwenye ngome hizo ,na inasadikika kua majeshi ya marine corps ya kimarekani yalipoteza robo ya askari wake katika vita hiyo haikua rahisi kuvuka hapo 

Sasa filamu hii ya vita kuu ya pili ya dunia inapatika ndani ya maktaba yetu ya Amazon VIDEO πŸŽ₯

Unaweza kuipata kwagarama nafuu sana

Na imechombezwa maneno matamu ya kiswahili na mkandara Lufufu

Na iko katika mfumo mzuri wa HD Quality kabisa, inang'ara vizuri katika screen

Usikubali kuikosa iko katika DvD , flash nasasa tunaweza kukutumia hata kama uko mbali kiasigani tunaituma kwenye WhatsApp/telegram 

Kupitia link.

Number+255745117775/0693117775

Email ✉️ amazonvideoslibrary@gmail.com



Comments

Popular Posts