WAR BUS

Katika vita ambayo Marekani haitakaa isahau kwenye uso wa Dunia ni Vita kali vya nchini Vietnam. Katika filamu zote za zamani zilizo wahi ku vunja rekodi katika Bara Amerika Myaka hiyo ya nyuma ni kama zitwatazo : kuna War Bus,The Hard way,Nam Angels,Phantom soldiers,Soldia boysBattles Rust ,Humberge to kill,

Ila Filamu ya WAR BUS haikuwa ya kawaida hata kidogo,ukilinganisha na filamu zingine, ilikua filamu maarufu zaidi Duniani kote na ilipata umaarufu zaidi kutokana na namna ilivyokuwa ikichezwa, pia gari lililotumika kuicheza filamu hii lili wavutia wengi

Pia zikiwemo silaha nzito zilizo tumika kufanyia milipuko na nyingine nyingi zili tumika kulipua vifaru APC, na magari ya kivita

War bus ,ni movie ambayo ina vita isiyo ya kawaida 🀣🀣🀣😭

 Asikwambie mtu.

Kwa kipindi cha nyuma ilikua haiko katika Ubora na sasa Tumeirudia kurekebisha vizuri iko katika muonekano mpyaa kabisa wa HD quality na imekaa vizuri mnooo. 

Nakuomba Usije ukakosa kitu hiki ,kwanza kina ng'ara katika sceen asikwambie mtu.

Ilichezwa mnamo 1985.







Comments

Popular Posts