Eastern Condors HD

Eastern Condors ni filamu kali ya vita vya Vietnam na ushiriki mkubwa wa Wachina. 

Filamu hii ilichezwa mwaka 1987 huko Hong Kong. Imeongozwa na mwanazuoni anayejulikana kwa jina la Sammo Hung, ambaye pia aliigiza kama nyota wa filamu hii. Filamu hii imehusisha waigizaji wengi wakiwemo Yuen Biao, Joyce Godenzi, Yuen Wah, Lam Ching-ying, Yuen Woo-ping, Corey Yuen na Billy Chow. 

Filamu hii ilitolewa huko Hong Kong tarehe 9 Julai 1987. Imetafsiriwa kwa Kiswahili na nyota anayetafsiri filamu nchini Tanzania, mzee wetu Mkandara Lufufu, ambaye amefariki dunia myaka ya hivi karibuni ya 2015

Lakini kwa hakika alizungumza maneno matamu ya Kiswahili ambayo ni ya kuchekesha, ya kuvutia na kusisimua, ambapo kwa hakika mtazamaji anapoitazama filamu hii anajisikia kama mtu tofauti kidogo kwakua na furaha isio kua na kipimo unapoitazama. Kwa ujumla, filamu hii imechezwa na watu kutoka nchi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Marekani, China, Vietnam, na Kanada.


Sasa inapatikana kwenye maktaba ya Amazon VIDEO ๐ŸŽฅ yenye muundo mzuri sana na wa kuvutia wa ubora wa HD Quality kabisa

Ina ukubwa wa 823.7 MB haina uchafu, itang'aa sana kwenye skrini yako na bei ni nafuu sana ,kuipata, unalipia 1,000 TZS M-pesa namba +255745117775 name Victor / Ukishalipia, tujulishe ili tukutumie filamu yote kamili.wasilia nasi pia kwenye number hii +255745117775/Au ✉️ amazonvideoslibrary@gmail.com / imeandaliwa rasmi na mkurugenzi mwandamizi wa maktaba ya Amazon video library -Victor


                   Video ๐Ÿ‘‡




Comments

Post a Comment

Popular Posts