Full metal jacket

Hii ‎Movie inapoanza nilijua jamaa ndie main character na ndie atakuja kuwa mwanajeshi atakae fuzu vizuri katika mafunzo na kuwa mkombozi,Lakini hali ikawa tofauti...
‎Mzigo unaitwa FULL METAL JACKET 
‎Humu ndani jamaa alikuwa nanga kwenye kambi ya mafuzo,yeye ndie alikua anashika mkia kwa kila kitu,hali iliyopelekea kuonekana kama mzigo na kutupiwa maneno na kiongozi Wao
‎Sometime ilikuwa kosa akifanya yeye haadhibiwi, adhabu yake wanapewa wale room mate wenzie...
‎Hapo pichani alikutwa kaficha donut ndani ya begi lake,badala aadhibiwe yeye katika anga lao adhabu ya kupiga push up wakapewa wengine...
‎Hiyo hali iliwakela wenzake Siku Moja wakamuamkia usiku,wakafunga sabuni za poa kwenye mataulo,wakamziba mdomo Kisha wakamchezeshea kichapo...
‎End of the day mwamba akajiona mzigo, nobody care about him akaamua kuwa bad guy, kwenye list ya movie za kivita ninazozikubali hii pia ipo..
‎Humu ndani Kuna sniper wa kike kutoka Vietnam aliwavuruga sana wamarekani.. mzigo huu na mingine kibao tunayo Whatsapp 0745 117 775 , iliyo tafsiriwa kiswahili na Mkandara lufufu tena HD quality kabisa pia Bei poa buku lako tu.sh 1000 unaibuka nayo
.





We are still in Vietnam today, we have emerged with a full metal jacket This picture, don't tell anyone it's a war, it's not a game, it was played by the MARINE cops,

 it involved the soldiers getting stronger who graduated from army training and were sent to the battlefield in Vietnam, those soldiers became very rude savages🀣🀣🀣 This movie has been translated into Swahili by Lufufu contractor, and the main player is a private johcker.

 It is in full HD quality, if you want it, let's meet on Whatsapp 0745117775 for only one thousand. Amazon VIDEO library/ is the news of the city, we bring you things that your soul will love.



Comments