The Gods Must Be Crazy 2

 The Gods Must Be Crazy 2

Hii ni filamu ya Afrika Kusini iliyofika Ulaya ikiwa na mbwembwe nyingi mno mwaka wa 1989, 

ikavunja rekodi za ofisi za sanduku huko Japani na Amerika Kusini na kote Ulaya, na hata ikawa maarufu sana huko Amerika ya Kaskazini, 

Inasikifika kua ni filamu yenye vichekesho vyakutosha kutoka Afrika Kusini. Filamu hiyo inaanzia kwenye Jangwa la Kalahari. Rubani katika ndege ya kibinafsi alidondoka akiwa na msichana na mwisho ndege hiyo ikakwama juu ya miti na maeneo yote yalikua yamezunguka wanyama pori 

The Gods Must Be Crazy II ni filamu ya vichekesho ya 1989 iliyoandikwa na kuongozwa na Jamie Uys, na muendelezo wa filamu ya 1980 The Gods Must Be Crazy, ambayo Uys pia aliandika na kuiongoza.t

Uayarishaji mwenza wa kimataifa wa Afrika Kusini, Botswana, na Marekani, The Gods Must Be Crazy II ulitayarishwa na Weintraub Entertainment Group. Ilitolewa na Columbia Pictures nchini Marekani tarehe 13 Aprili 1990, na ilitolewa katika maeneo mengine ya dunia na 20th Century Fox.iIlipo 


Ilichezwa katika jangwa ya Kalahari huko Afrika kusini

Kiufupi filamu hii imejaa vitoko vyajabu sana utafurahi mno na utacheka sana 

Sasa inapatikana ikiwa na mfumo unaovutia zaidi HD Quality

Na imechombezwa maneno matamu yakusisimua na kuchekesha na mkandara Lufufu

Inapatikana katika maktaba yetu ya Filamu Amazon VIDEOπŸŽ₯ 

Iko katika DVD, FLASH ,na ipo kwenye mfumo wa internet link hivyo tunaweza kukutumia kwenye WhatsApp/telegram

Email ✉️ amazonvideoslibrary@gmail.com




Comments

Popular Posts