THE BREEDE

 Leo tena tumekuletea filamu hii kali ya THE BREED filamu ya kutisha ilichezwa mwaka 2006 iliyoongozwa na Nicholas Masta..

Kiukweli Ni movie moja nzuri sana inazungumzia ndugu wawili na wasichana 2 ambao walikua ni wachumba wao 

Walisafiri na ndegemaji yao kwelekea kwenye kisiwa flani kwenye nchi moja ya Afrika ,staki kuitaja jina, Lengo lao ilikua nikwenda kuburudika na wapenziwao, kula bata kwamrija, ila kwabahatimbaya walikuta kwenye kisiwa hicho kulikua na magofu au majumba ambayo yalikua yame telekezwa hivyo kuumbe kulikua na mambwamwitu wenye njaa kali wakaanza kuwashambulia vikali mnoo na baadae ikawa sasa nivita kali ya mmbwa hao na binaadam.

Kiufupi ni nzuri mnoo asikwambie mtu...

Nasasa inapatikana katika maktaba yetu ta filamu Amazon Video library, pia ime tafsiriwa Kiswahili na mkandara lufufu imeandaliwa kuwa HD quality na Victor

inag'ara katika screen.  Tukutane WhatsApp +255745117775.


            



Comments

Popular Posts