Coming 2 Amerca HD

Coming to America ni filamu ya vichekesho na ya kimahaba iliyochezwa mwaka 1988 

Ili ongozwa na John Landis na  maandalizi ni Eddie Murphy, ambaye pia ali igiza katika nafasi ya kwanza. Filamu hiyo pia imeigizwa na watu wafuuatao :

Arsenio Hall, James Earl Jones, Shari Headley, na John Amos. 

Filamu hii ilitolewa nchini Marekani mnamo Juni 29, 1988. Eddie Murphy ndie nyota mkuu katika filamu hii lakini imetanzia katika kabila moja la Kiafrika la Zamunda,na baada ya hapo alisafiri hadi Marekani kwa matumaini ya kupata mwanamke ambaye anaweza kuoa. 

Hii Filamu nizurisana imetafsiriwa na Mkandara Lufufu Usikose hii Movies ina sisimua sana ina chekesha na ime beba drama za kimapenzi pamoja Historia kali katika ufalme,sasa ukiitaka HD wasiliana nasi inapatikana HD kabisa quality 


                  Video ya Coming 2 amerca



Comments

Popular Posts