OPARETION ROGUE

 Hii movies kwanza ni HD kabisa nikali mnooo nakosa namna nzuri ya kuielezea ni filamu yakivita ambayo imechezwa kati ya jeshi la majini marin la marekani na waasi wauzaji wa madawa ya kulevya wa ufilipino baada ya kuthubutu kumteka mtoto wa jenerali mkuu wa jeshi hila lamaji la Amerika

Ni movies moja nzuri sana usije ukaikosa 

Imetafsiriwa kiswahili na kuchombezwa maneno matamu na Mzee wetu Mkandara Lufufu.

Pia usisahau ku Comment hapo chinikabisa


 


Comments

Popular Posts