filamu ya kihindi (Jaanwar)

inawezekana wewe ukawa ni mpenzi wa picha za kihindi hususaani zilizo tafsiriwa na kuchombezwa maneno matamu yakiswahili na mkandara lufufu

Sasa tumeibuka na hii tena kali yakihindi ikiwa kwenye  mwonekano mpyaa wa  HD kabisa

yani inang'ara vizuri katika scree yako.

picha hii imebeba hadithi kali ya kusisimua kuhusu ukame uliowahi kutokea katika nchi ya India

ukame huo ulisababisha vifo vya watuwengi sana na wahindi wengi walihaha mpaka wakafikia hatua ya kusambaa hovyo kwenye maeneo mbalimbali wakitafuta kamawatapata mahali ambapo kuna mvua.

Jaanwar (film) imechezwa mwaka 1999

Inapatikana ndani ya duka letu lakini pia tuna ituma kwajia ya internet kupitia link hivyo unaweza kuipata ukiwa mahaili popote katika dunia 

         TRAILER VIDEO ๐Ÿ‘‡

 

Comments

Popular Posts