Casualties of War

Casualties of War

Bado tupo ndani ya Vietnam movies hii ina vita kubwa sana imechezwa miaka hiyo ndani ya Vietnam walikuwepo askari maalumu maarufu kama Commando wa5 wa kimarikani huko Vietnam ambapo ilimtokea  msichana mmoja wakivietnam alietekwa na askari hao, wakamlazimisha kuambatana nao katika uwanja wavita  huku wakiwa wanamfanyia vitendo vya kinyama nyaubakaji na mwishowe waka muuwa ,Mmoja kati ya hao askari watano alikataa kushiriki katika ubakaji na mauaji hayo kwanza alikua mcha Mungu na alitoa ushuhuda wake ambao mwishowe aliwapeleka wenzake mahakamani kwamashitaka makubwa ya uzalilishaji na vitendo vya kinyama vya wanajeshi wao wakimarekani wanavyo fanya katika uwanja wa kivita huko Vietnam
Ni movies nzuri sana .
Kumbuka kua ni HD quality kabisa ing'ara sana katika screen yako ime tafsiriwa na kuchombezwa maneno matamu na mkandara lufufu.

usisahau kutupa maoni yako hapa chini kwenye comment

Comments

Post a Comment

Popular Posts