Osoufia in London

Karibu kuitizama filamu hii kali ilio chezwa na Mwigizaji mkubwa wa vichekesho nchini Nigeria Nkem Owoh alie igiza Osuofia in London sinema hii aliitowa mnamo mwaka 2003

Hadithi hii inazungumzia osoufia kwamba alikua na kakaake jijini London

Kakayake huyo inasadikika kwamba alikua tajiri mkubwa sana hivyo alipofariki _marafiki waienda Nigeria kikijijin kwao ili kumpasha habari mdogowake ili aende jijini londan wingereza akaridhi mali za kaka yake

Osoufia alipofika londan kweli alikua mshamba wakupindukia, alikua nimtu wakijijini tu na hio ilikua ni marayake ya kwanza kufika jijini ila alifanyikiwa Aliambiwa London kuna baridi sana ko alienda amevaa makoti kama ma4 na alipofika londan alikua komedia vituko vyakutosha.

Kilicho washangaza wengi alirudi akiwa amerithi mke wa kakayake, mwanamke alikua wakizungu na alipofika Nigeria alifunga nae ndoa ,na zile mali za urithi waka endelea kuzitumia.

pia kuna part 2 ambayo inaonyesha maisha walio endelea kuyaishi nchini Nigeria baada ya ndoa ,usije uka zikosa hizi filamu 2 ziko vizuri sana.

Zinapatika ndani ya maktaba yetu ya Amazon o video library, tena zikiwa quality na kumbuka zime tafsiriwa na kuchombezwa maneno matamu na Hayati makandara lufufu.





Comments