Delta Force 3: The Killing Game HD

Delta Force 3


The Killing Game ,mchezo wa kifo movie hii ilichezwa mwaka 1991 kiukweli ili kosha  myoyo ya watazamaji wengi zaidi kwa sababu ni filamu nzuri kupita maelezo


Filamu hii ilichezwa uarabuni,Vita hii ilifanyika kipindi ambacho waarabu walipo amua walishirikiana majeshi ya kijasusi ya urusi: 

1 Nick Cassavetes kama Meja Charlie Stewart, kamanda wa timu ya Delta 

2 Matthew Penn kama Luteni Richard O'Keefe, afisa wa ujasusi wa Delta Forc

3 Mike Norris kama Greg Lassiter, mtu wa uhakika wa Delta Force 

4 Eric Douglas alicheza kama mtaalam wa milipuko wa Delta Force 

5 Sandy Ward kama Jenerali Wilson, kamanda wa JSOC 

6 John Ryan kama Kapteni Sergei Ilyich Leskov, kamanda wa timu ya Soviet Spetsnaz

7 hana Azoulay Hasfari kama Irenia Usuri, afisa wa ujasusi wa Soviet  

Mark Ivanir as Pietre Ivanovich, mtaalam wa vilipuzi wa Soviet 

9 gregory Tal akiwa Bruk, mtaalamu wa silaha nzito za Soviet 

10 candace Brecker kama Wendy Jackson, mtayarishaji wa habari wa TV 

11 Jonathan Cherchi kama Kahlil Kadal, Sadali te kiongozi wa kigaidi 

12 Dan Turgeman kama Anwar Hussein, mshambuliaji wa kujitoa mhanga wa Sadali 


Filamu hii sasa inapatika katika maktaba yetu ya Amazon VIDEO πŸŽ₯

Imetafsiriwa na kuchombezwa maneno matamu ya kiswahili na mkandara Lufufu tena ikiwa katika mfumo mzuri zaidi unao ng'ara katika screen _HD Quality 

Ipo katika DVD , Flash na kwenye mitandao wa internet link hii ni kwawale walioko mbali na sisi tunaweza kukutumia kwenye WhatsApp/Telegram.

Number+255745117775

Email ✉️ amazonvideoslibrary@gmail.com





Comments

Popular Posts