Operation Delta Force 2: Mayday

Movies hii ni vita baridi kati ya marekani na urusi pamoja na waarabu vita ilitokea baada ya magaidi hao kuteka baadhi ya askari wakimarekani nakuwafungia kwenye magereza yao kwenye mipaka ya uturuki nairaki pia haikupita mda wakasubutu kuteka tena manuari yajeshi la marekani ilio kuwepo katikabahari kuu.

Nabaada ya hapo taifa la amerika lilichukia likaagiza majeshi yake yateuwe askari maalumu wakivita maarufu kama { Commando} kweda kuwafundisha adabu 🀣  mission hiyo haikuwa yakitoto

Hakika kulipigwa vita ambayo warusi na waarabu hawatakaa wasahau katika uso wadunia.

(Michael McGrady) mchombezaji mkuu.


Hivi sasa inapatikana HD quality kabisa

Inayo Ng'ara yazidi katika screen 







Comments

Popular Posts