UTARATIBU WA MOVIES

 kwawale wageni ambao wanahitaji kuambatana nasi kwenye burudani za filamu soma kwa umakini utaratibu ulivyo.

kwanza kabisa tuna ma group kwenye WhatsApp ya filamu mbalimbali zilizo tafsiriwa kiswahili na mkandara lufufu .

 Utaratibu wa (1)a kama hatujakuunga na unahitaji tukuunge kwenye group au kwenye kundi basi tujulishe kwakutuma neno NIUNGE kwenda +255745117775 au kama unaweza kujinga moja kwa moja mwenyewe bonyeza hapa πŸ‘‰ WhatsApp group

(b)Matusi,Utapeli,Maneno machafu ,pamoja na Kupost mambo au matangazo yasio husiana na filamu,hayo yote kwenye group nikosa haturusu tafadhali⚠️.

Utaratibu(2)  Kama kuna movies yotote unaitaka tuma Pesa Mpesa number     +255745117775 jina  litakjk Victor

Ukishatuma pesa yako tujulishe,au Utupe taarifa ya muamala wako, majina na kiasi ulicho tutumia au ukiweza tuma Screenshot ya muamala wako WhatsApp,nasi tutakutumia link ya filamu hapo hapo ,Kila filamu 1 ni = 1,000TZS ko utatuma kiasi cha pesa kulingana na idadi ya filamu unazo hitaji.

Kwenye magroup yetu maranyingi tuna tuma vi crip au vipande vifupi vifupi vya filamu mbalimbali kama viburudisho na trailer kwasababu kuna filamu nyingi wengi hawa zifahamu majina.

 Asante na karibu- Amazon VIDEO library tuko tayari kukupa huduma bora na yenye uaminifu mkubwa _Management Services.

Comments

  1. Buku sionyongi ila tusipelekane mjini wakati sisi tumezaliwa hapa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tulia kwenye group letu uoneje tunadanganya au tunasema ukweli?!

      Delete
  2. Victor Ila Nimedownload Mivie Imegoma Kupray Au Ni Sim Yangu ❓

    ReplyDelete
  3. Ndio ni simu yako ila download VLC iwe ndo utatumia ku
    Play
    Itakubali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mara nyingi hizo ata ukisha ipakua siku ya siku unakuta haichez tena mpaka udownload tena, bora atakayelipia basi arushiwe hiyo movie

      Delete
  4. Asante sana nimepata mwongozo wenu nitajitahidi kuufuata kadri niwezavyo pia naomba kuuliza, ikiwa nimeomba move ukanitumia naweza kuihamisha na kuiweka kwenye flashi?

    ReplyDelete
  5. Asante sana kwa kuingia humu ndan

    ReplyDelete
  6. Mko sawa ntawachangia

    ReplyDelete
  7. Lakini Ni wazo langu lakini mngefanya utaratibu Kila mwezi tulipie

    ReplyDelete
  8. Ahsant kwa muongozo wenu ntajitaidi kuzingatia masharti yote na kuwachangia piah

    ReplyDelete
  9. Asante sana nimecheka Ila naomba niunge kwenye group

    ReplyDelete

Post a Comment

Karibu kwenye tovuti ya Movie

Popular Posts