UTARATIBU WA MOVIES

 Hususani kwawale wageni ambao wanahitaji kuambatana nasi kwenye burudani za filamu soma kwa umakini utaratibu ulivyo.

kwanza kabisa tuna ma group kwenyeWhatsApp ya filamu mbalimbali zilizo tafsiriwa kiswahili na maDJ mbalimbali ispokua nyingi zaidi tulizo nazo nizile za zamani zilizotafsiriwa kwa kiswahili na mkandara lufufu . Utaratibu wa (1)a kama hatujakuunga na unahitaji tukuunge kwenye group au kwenye kundi basi tujulishe kwakutuma neno NIUNGE kwenda +255745117775 

b(Matusi,Utapeli,Maneno machafu ,pamoja na Kupost mambo au matangazo yasio husiana na filamu,hayo yote kwenye group nikosa haturusu tafadhali⚠️,nakama ukifanya hivyo unaweza kujikuta tumekutoa kwenye group.

Utaratibu(2)  Kama kuna movies yotote unaitaka tuma Pesa M-pesa Number +255745117775 jina Victor

Ukishatuma pesa yako tujulishe,au Utupe taarifa ya muamala wako,namaanisha majina na kiasi ulicho tutumia au ukiweza tuma Screenshot ya muamala wako WhatsApp tutakutumia link ya filamu hapo hapo ,Kila filamu 1 ni = 1,000TZS ko utatuma kiasi cha pesa kulingana na idadi ya filamu unazo hitaji.

Ukituma pesa tutakutumia link ya filamu yoyote unayo hitaji,Nakama haipo tutakujulisha ili uweze kuchagua nyingine,Vinginevyo Kama hauwezi kulipia Kuna njia 2 njia yakwanza jitoe , njia ya pili kama hujajitoa Sasa kua mvumilivu na mpole kwenye group usubirie filamu za ofa 

Kwenye magroup yetu ya filamu kuna wakati tunarusha filamu za ofa.

Japo maranyingi tuna tuma vi crip au vipande vifupi vifupi vya filamu mbalimbali kama viburudisho au trailer kwasababu kuna filamu nyingi wengi hawa zi fahamu majina.

Lengo kuu kwanza sisi kama sisi tunazipenda sana kazi alizo zifanya hayati mkandara lufufu,sisi ni washabiki wake wakubwa tangu enzi hizo kwenye vibanda umiza vya sinema,kipindi cha uhai wake tuliwahi kufanya nae biashara kwaufupi alikua anatuuzia Mikanda ya filamu kwa bei ya jumla na kwagharama nafuu sana,pia alikua ana tufanyia matangazo,ko alikuwa rafiki yetu mzuri sana kibiashara,hivyo baada ya kuiaga dunia tuli tafuta kazi zake tuka zikosa ikaonekana kua hakuna ane zienzi kwakuziendeleza,ndipo tukaamua kuzienzi kazi zake kwa kuzi boresha kuwa katika mwonekano mpyaa wa HD,lakini pia ni katika kukupa raha na burudani wewe mteja wa maktaba yetu ya Amazon VIDEO library na mshabiki wa filamu zilizo tafsiriwa kiswahili na Mkandara lufufu.

Utaratibu (3) Kuna baadhi ya watu unakuta tumewaunga kwenye group lakini chaajabu wanakua wasumbufu sana na pengine hawanunui hata filamu zenyewe,{Ushauri} haina maana kusumbua sana wakati hautaki hata kutuchangia chochote,kumbuka nasisi tunatumia garama!,Kuna watu wanasema kwanini kulipia?! Ndio kumbuka hata sisi tuna lipia kwenye kampuni ya Google ili tupewe nafasi ya kuhifadhia hizo filamu kwenye link, ndio maana tunatumia Google drive kupakulia filamu,lakini pia tunatumia mda mrefu sana  kuzi andaa na kwakutumia garama kuzitengeneza baadhi kama zile una kuta tayari zina kwaruza,kuchafuka au (kuskrachi) pamoja na ukungu mwingi tunazifanya kua katika mfumo na mwonekano mzuri zaidi wa kisasa HD,ili uweze kuangalia kwaraha mstarehe,jambo lingine tuna tumia Pesa kununua mabando ili tuwe online kila siku ili uweze kutupata kirahisisi wewe ulieko mbali nasi,na tuna tumia mdamwingi kufanya kazi lengoletu wewe ulieko mbali nasisi upate raha na burudani, Kunawatu wengine wanadai eti tunalipwa  kwenye mitandao ya Youtube ukweli nikwamba hatulipwi kabisa na kapuni yoyote  maana hizi filamu kumbuka nizawatu(zawazungu) zina copyright ,na hatimiliki wanazo wenyewe walio zicheza  ko ningumu kulipwa sisi kwasababu sio wamiliki halali wa filamu hizi za kizungu ko wanalipwa wahusika walio zicheza,ukiona tumeweka filamu yoyote Youtube,au kwenye Social media yoyote ujue tumetoa ofa tu.

 Asante by Amazon VIDEO library Management Services.

Comments

  1. Buku sionyongi ila tusipelekane mjini wakati sisi tumezaliwa hapa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tulia kwenye group letu uoneje tunadanganya au tunasema ukweli?!

      Delete
  2. Victor Ila Nimedownload Mivie Imegoma Kupray Au Ni Sim Yangu ❓

    ReplyDelete
  3. Ndio ni simu yako ila download VLC iwe ndo utatumia ku
    Play
    Itakubali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mara nyingi hizo ata ukisha ipakua siku ya siku unakuta haichez tena mpaka udownload tena, bora atakayelipia basi arushiwe hiyo movie

      Delete
  4. Asante sana nimepata mwongozo wenu nitajitahidi kuufuata kadri niwezavyo pia naomba kuuliza, ikiwa nimeomba move ukanitumia naweza kuihamisha na kuiweka kwenye flashi?

    ReplyDelete
  5. Asante sana kwa kuingia humu ndan

    ReplyDelete
  6. Mko sawa ntawachangia

    ReplyDelete
  7. Lakini Ni wazo langu lakini mngefanya utaratibu Kila mwezi tulipie

    ReplyDelete
  8. Ahsant kwa muongozo wenu ntajitaidi kuzingatia masharti yote na kuwachangia piah

    ReplyDelete
  9. Asante sana nimecheka Ila naomba niunge kwenye group

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular Posts