Fighter Jets Fly zatinga (DRC)

Hatimae ndege kali zakivita aina ya "Fighter Jets Fly" zime tinga Africa katika nchi ya jamuhuri yaki democrasia ya Congo (DRC) kwaajili ya kupambana na M23 na Rwanda kwaujumla maana wa congo wanadai nchi hiyo inawaunga mkono waasi wa M23 pia ina sadikika kua ndege hizo za Fighter Jets Fly zinauwezo wa kuruka kwa speend kali mnoo ,kilometa 900 kwa dakk20 ,wame zinunua nchini urusi ,inasemekana kua ziko ndege 19 na baadhi zimesha wasili nchini humo( DRC).aina hii ya ndege zimetumika katika movies inayoitwa Colombian Air force Mcbain. Tunayo ime tafsiri riwa na mkandara lufufu.



          Zi cheki hapa πŸ‘‡


Comments

Popular Posts