THE WILD GEESE HD

The Wild Geese ni filamu ya kivita ya 1978 iliyoongozwa na Andrew V. McLaglen na kuigiza na Richard Burton, Roger Moore, Richard Harris, na Hardy KrΓΌger. 


Filamu hiyo inahusu kundi la mamluki barani Afrika.

Inasadikika kua katika filamu za kiafrika zilizo wahi kupoteza watu wengi katika mashambulizi ziko 3 zilizo vunja rekodi 

Kuna:

1.WILD GEESE

2.THE TEAR OF THE SUN

3.ATTACK ON DARFUR

4.RWANDA GENOCIDE

5.JOHN MAD DOG  

hizi filamu kama hujawai kuziona bado  basi  usikose kuzitazama

Sasa wild geese inapatikana full ikiwa katika hali yakuvutia HD Quality 

Unapo itazama inang'ara katika screen.

Ina Ukubwa wa GB1

Sasa inapatikana katika maktaba yetu ya Amazon VIDEO πŸŽ₯

Wasiliana nasi tuweze kukutumia kwagarama nafuu. 

                 πŸ‘‡




Comments

Popular Posts