SEASON KALI ILIO TAFSIRIWA KISWAHILI NA MKANDARA RUFUFU

Hivi karibuni kumekuwa na watu wengi wakituuliza kama hakuna season zilizo chombezwa maneno matamu ya kiswahili na Mkandara Lufufu
Jibu ni huwa zipo na hivi sasa tunayo season ama tamsilia 1 ya kizungu inayoitwa Spider man, ni tamsilia nzuri  sana yenye story kali ya kusisimua,na kuvutia
Ina Epsode 1-20 final
Na ina patikana ndani ya duka letu
Na wewe uliepo mbali na sisi unaweza kuipata kupitia link kwa garama nafuu sana.


Comments

Popular Posts