MY WAY_LUFUFU

My way, ni filamu moja kati yazilefilamu kali za vitakuu yapili yadunia
Imechezwa na  Wakorea,warusi,wagerman,wajapani,wachina,pamoja na wangereza hii kitu inavita ambayo iliwahi kutikisa sana katika uso wa dunia
Usije ukakosa kuitazama imechombezwa maneno matamu na Mzee mwenyewe mkandara Lufufu.





Comments

Popular Posts