Skip to main content

Posts

Filamu za zamani za mkandara lufufu HD.

  Zaidi ya karne moja tangu meli ya Titanic ilipozama katika safari yake ya kwanza, ushuhuda huu wa mtu wa kwanza aliyenusurika Frank Prentice unasalia kuwa ushahidi muhimu na wa kuogofya kwa waliokuwa ndani ya meli hiyo. Frank Prentice alikuwa na umri wa miaka 23 aliponusurika katika ajili ya meli ya Titanic iliyozama. Alipohojiwa na BBC miaka 67 baadaye, ilikuwa wazi bado alikuwa akiandamwa na usiku huo mbaya. Zaidi ya watu 1,500 walikufa maji wakati meli ya Titanic ilipogonga jiwe la barafu katika Bahari ya Atlantiki tarehe 14 Aprili 1912, na kusababisha meli hiyo kuzama. Bwana Prentice alikuwa akifanya kazi kama msaidizi wa masuala ya fedha, akishughulikia pesa na vifaa ndani ya meli katika safari yake ya kwanza. Akizungumzia matukio ya usiku huo kwenye kipindi cha hali halisi cha BBC cha 1979 The Great Liners, alikumbuka wakati ambapo alifikiria kwa mara ya kwanza kuwa kuna kitu kibaya kimetokea. "Hakukuwa na athari sana," alisema. "Ilikuwa ni kama kufunga breki zak

Latest Posts

FAIDA 10 ZA KUTAZAMA FILAMU

Missing in Action 1984 ‧ Action/Mkandara lufufu

The Siege of Firebase Gloria (1988) Mkandara lufufu HD quality

U.S. Marshals (film)

Toa oder yako sasa ya movies

Fighter Jets Fly zatinga (DRC)

Mambo 10 ya ajabu na yakushangaza alio yafanya idi amin dada

Mwanzo wa DJ marck katika ku tafsiri filamu za kizungu

THE WILD GEESE HD

Stallone Rambo_ Cliffhanger